Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,890
- 27,389
Hicho sio kikofia, ni kile kifaa kinachotumika barabarani kuonyesha kuwa kuna ujenzi unafanyika na njia imefungwa.
Duh, Kweli kabisa mkuu. Nimeona. Aisee kumbeeeeee. Big up, mmetupa maujanja.nafikiri ujaangalia vizuri. Cheki kwenye title bar kushoto kabisa.
Hicho sio kikofia, ni kile kifaa kinachotumika barabarani kuonyesha kuwa kuna ujenzi unafanyika na njia imefungwa.