Mr Penal Code JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 823 Reaction score 216 Dec 26, 2012 #1 Habari.Vlc PLayer yangu jamani inasumbua kuplay inaniandikia VLC crashed pale tuu ninapotaka kuplay Music au video lakini Kipindi cha nyuma ilikuwa Okey kabisa Nimejaribu kuitoa na kuweka tena lakini Bado inasumbua Msaada plz Thankx.
Habari.Vlc PLayer yangu jamani inasumbua kuplay inaniandikia VLC crashed pale tuu ninapotaka kuplay Music au video lakini Kipindi cha nyuma ilikuwa Okey kabisa Nimejaribu kuitoa na kuweka tena lakini Bado inasumbua Msaada plz Thankx.
Isaac Chikoma JF-Expert Member Joined Oct 25, 2011 Posts 475 Reaction score 101 Dec 27, 2012 #2 download nyingine,pengine hiyo ina matatizo FileHippo.com - Download Free Software
Zuia Sayayi JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 841 Reaction score 140 Dec 27, 2012 #3 Unstall then instal upya hata mm nilkua na tatzo kama hlo nikafanya hvyo na sasa hv napga music tu