Vladmir putin says

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,229
23,918
1455696063e.jpg


According to Russian daily
Novaya Gazeta, Mr. Dmitry Peskov
,the press spokesman for the
Russian President, lambasted the
Saudi regime in his weekly press
conference for sowing terrorism
and backing al-Qaeda inspired
guerrillas throughout the crisis-hit
Syria.
"the Saudi leadership clings to
power and hope they can possibly
impede the inevitable collapse of
their primitive, barbaric and
inhumane political system by
targeting the stability and welfare
of other neighboring nations,"
Pravda quoted the Russian official
as saying on Monday.
Earlier, the Russian president
emphasized that his country can't
remain at rest vis-à-vis the Saudi
mischievous interference in Syria
which blocked any Syrian-Syrian
peaceful settlement.
" …Russia will defeat Saudis in
Syria which became the epicenter
of their [Saudis] malevolent plots.
It is imperative for all Syrian
parties that believe in a peaceful
resolution for their country's five-
year civil war to sit down at the
negotiation table and denounce
the Saudi destructive role," said
President Putin, adding thatRussia will bomb Saudi Arabia
back to the Stone Age life when
nomad Arabs were in the habit of
living in tents unless the regime
gives up assisting radithe
terrorists in the Middle-East.

The Russian President added that
strong actions against Kingdom of
Saudi Arabia (KSA) are justified
and crucial due to the fact that
Saudi-backed ISIS poses a major
international security threat. At the
same time, the international
community should be under no
illusion about the detrimental and
suspicious U.S.-Saudi alliance.
 
WATU WANAO BEZA BEZA HOTUBA YA PUTIN HAWAJUI HATARI INAYO NYEMELEA DUNIA KUTOKANA NA VITENDO VYA KIKUNDI VYA KIGAIDI (ISIS).

TUSIJIDANGAJE HAPA KWA KUDHANI SOMALIA HIKO MBALI, KWA HIYO JUHUDI ANAZO FANYA PUTIN KUANGAMIZA VIKUNDI VYA KIGAIDI HAVITUHUSU SISI!! WATU WENYE AKILI TIMAMU WANAPASWA KUHUNGA MKONO PUTIN NA JESHI LAKE, JRSHI LA URUSI NDIO LENYE WENYE NIA THABITI YA KUDHIBITI KUNDI HILI HATARISHI.

NINA HAKIKA PUTIN ANA MAANISHA ANACHO KISEMA - KAMA MNAFIKIRI TAMKO LAKE NI NGUVU YA SODA BASI SAUDIA ANAPASWA KIJITAFAKARI MARA MBILI KABLA HAIJAJINGIZA KICHWA KICHWA HUKO SYRIA.

WAKUMBUKE NCHI NDOGO KAMA YEMEN INAWATOA KAMASI, LEO HII NDIO WAJIFANYE KUKOMALIA SYRIA WAKISHIRIKIANA NA TURKEY - WALA WASIJIDANGANYE KWAMBA MERIKANI INAWEZA KUINGILIA MOJA KWA MOJA UJINGA WA MFALME WA SAUDIA NA MWENZAKE, HASIPO KUWA MAKINI HUO NDIO UTAKUWA MWANZO WA WAPINZANI WA UFALME KUCHUKUWA SILAHA NA KUWAONDOA MADARAKANI KAMA URUSI ITASITA KUPIGA MABOM SAUDIA BACK 2 STONE AGE
 
Putin nakukubali sana

Mkuu sijawahi kumuona Putin amhekasirika hivi au kutoa maneno makali kiasi hicho, ukiona hivyo ujue kuna kitu si bure.

Utawala ya Saudia una kiburi sana na niwakatiri sana, wanatumia majambia kukata vichwa watu kwa tuhuma ambazo hazihitaji capital punishment wengine ambao hawana hatia wananyongwa barbarically!!!

Juzi juzi hapa baadhi ya wahumini wa Dini ya Kiisilaam waliokwenda Hija waliangukiwa na ukuta/crane wakafa wengi, wengine kwa kukanyagana sikuona kama Serikali ya Saudia iliguswa sana na maafa hayo!!!
 
....Isis inadhaniwa wapo chini ya us na saud Arabia, I don't know their target!/
kwa unyama ule!
 
....Isis inadhaniwa wapo chini ya us na saud Arabia, I don't know their target!/
kwa unyama ule!
 
putin ashindane nao tu hawa waarab kwenye soko la mafuta, aache mikwala make haitamsaidia kitu
 
Saudi Arabia na uturuki hawatakaa wadhubutu kuongoza buti Syria wanajua Russia anawasubiri.
yale mazoezi ya kijeshi ilikuwa mkwara WA Saudi arabia, walijua marekani itawasapoti lakini imekuwa kinyume, uturuku anapiga vibomu vyake akiwa ndani ya ardhi yake kwakuwa unajua itasaidiwa na nato ikishambuliwa. Kama wakiingia Syria wakasambaratishwa na Russia nato hawaingilii.kwa sababu Ni ardhi ya ugenini
 
hasira kubwa ya Putin ni kwa hao mashehe kuporomosha bei ya wese. mashehe wao kuchimba pipa moja wanatumia dola sita so kwa bei ya dola 25 bado wana faida. mwenzake kule anaingiliwa sana.
 
Back
Top Bottom