Vizungu vya masupa staa wa Bongo

hahahahaha kuna yule mwingine aliandika "Happy Birthday my sun" hapo akimaanisha "son" na mtoto mwenyewe ni wa kike.. Said Fella kama sijakosea
 
Lakini Kizungu cha weza kuwa Kijerumani, au kizungu ni Kiingereza tu.
 
Lakini Kizungu cha weza kuwa Kijerumani, au kizungu ni Kiingereza tu.

Ukisema kizungu unamaanisha kiingereza tu. Maana hata mjerumani akija bongo ataongea kiingereza lugha yake anaiacha huko kwao
 
Shishbabe my foot gagula huna lolote.!!
 
hahahaha
nimecheka hiyo comment hapo eti "wacha wazungu waitwe wazungu " duh

alivyokuja rais wa shirikisho la kijerumani alihutubia kwa kikwao jk kwa kujifanya much no akaongea kidhungu huku wanasema watoto wasome kiswahili shulee za kkayumba
 
mwehhh aibu nimeona mimi
 
Kuongea au kuandika kiingereza ni kipaji...Dada wa watu kapiga za Ugoko mpk Bhaaas, ngoja namimi niandike kidogo Happy Blue Monday
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…