Nakumbuka nimetoka babati sa 5 usiku, nakuja Dar kupitia singida, mida kama Sa 9 naitafuta manyoni. Naona watu wengi sana mbele wamesimama, Nilikuwa ka 200khr, nilinyoosha goti mpaka nawapita niko 240adometer, harafu sikujua Hata walipotelea wapi. Barabarani usiku mkubwa n marufuku kukwepa chochote