Eeeh....unamaanishaje kwa mfano
Kwani wewe umemaanishishaje hapa kwa mfano?
Mimi sijui
na mie nikajua anachokonoa anataka kujua kitu fulani.......
umejuaje kwamba hujui?
Hem niache nitumikie ndoa mie sasa hivi
Nini hiki umeongea?
Nimeandika
wa magari makubwa au hata wa hivi vibajaji...mmmh!! barabara hizi, ndio mana madereva wengi washirikina.
Kwani umeandikaje?
wa magari makubwa au hata wa hivi vibajaji...
Mkuu mshana jr mimi iliwahi nitokea huko Mwanza miaka mingi kidogo.Na hata kama msingemgonga ila mkamruhusu avuke mngeisoma huko mbele ya safari! Hata siku moja usikubali kunguru au paka akatishe Barbara mbele yako
Kwani we umesomaje?