hii naikumbuka arusha aisee.....tumetoka kula nyama .....saa nane usiku tunarudi tumepakiana vya kutosha.....tukiwa mteremkoni gafla paka akawa anakatiza barabarani........kila mtu akawa anasema kwa jina la Yesu......uzuri dereva alituambia usiku uwa hakwepi kitu barabarani......chochote yeye anagonga tu........ndiyo ponea yetu vinginevyo tungekufa.....mana yule paka baada ya kuona gari linamfwata alirudi alipotoka.....
Na hata kama msingemgonga ila mkamruhusu avuke mngeisoma huko mbele ya safari! Hata siku moja usikubali kunguru au paka akatishe Barbara mbele yako
Na hata kama msingemgonga ila mkamruhusu avuke mngeisoma huko mbele ya safari! Hata siku moja usikubali kunguru au paka akatishe Barbara mbele yako