Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,339
- 1,493
Habari Tanzania !
Nawaomba sana watu wote wanaomiliki maeneo ya biashara, makazi na maeneo yenye mikusanyiko ya watu wengi; wawe wanaweka vifaa vya kukinga moto. Hii iwe ni utamaduni wetu tusipuuze na pia tukumbuke tuna sheria ya utunzaji mali hasa majengo na maeneo yenye bidhaa za milipuko.
Kuna vikinga moto vya aina nyingi;
1. Fire extinguisher (Zipo aina nyingi inategemea na bidhaa, mali unazomiliki)
2. Mchanga laini (Huu unaweza uweka kwenye ndoo ndogo, kubwa au zile ndoo za kuhifadhia maua ambazo watu huzipenda kama urembo majumbani nk ).
3. Blangeti nzito (Hii unapaswa kuwa nazo za kutosha itategemea na mali ulizonazo)
NB
Tuache kuwa wanajimu wa majanga ya moto; maana dunia inabadilika na hali ya hewa inazidi kuwa tofauti mara kwa mara sambamba na shughuli za kibinadamu.