Vizabizabina ni akina nani?

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
15,743
Reaction score
39,791
Habari za jioni wadau,

Hawa vizabizabina ni akina nani, nimewasikia wakisemwa, wakiimbwa na kutolewa maneno makali. Naomba kujuzwa tafadhali
 
Habari za jioni wadau,

Hawa vizabizabina ni akina nani, nimewasikia wakisemwa, wakiimbwa na kutolewa maneno makali. Naomba kujuzwa tafadhali
Hata wewe mkuu waweza kuwa ni kizabizabina kutokana na tabia yako. Ni tabia ya mtu asiyekuwa na msimamo thabiti, kigeugeu, mtesi, muongo asiyeaminika nk nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…