Viwanja vyenye ukubwa wa Nusu ekari vinauzwa

Apex14

Member
Oct 17, 2014
49
10
Habari wadau!
Nauza viwanja ambavyo havijapimwa vyenye ukubwa wa Nusu heka. viwanja vipo Eneo la Mbutu kichangani-Kigamboni,Dsm. umbali kutoka ferry ni kama 10km. bei ya kiwanja ni 3.5ml haipungui. ukinunua utapewa utambulisho wa serikali ya mtaa. Nichek 0718 290 779
 
Hati ndio mambo yote sio utambulisho wa matapeli wa serikali za mtaa...
 
Huku si ndo walisema watu wasiendeleze maeneo yao kwa sababu Serikali imeshapanga kuwepo na Mji mpya wa kigamboni... au unataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia!!
 
Habari wadau!
Nauza viwanja ambavyo havijapimwa vyenye ukubwa wa Nusu heka. viwanja vipo Eneo la Mbutu kichangani-Kigamboni,Dsm. umbali kutoka ferry ni kama 10km. bei ya kiwanja ni 3.5ml haipungui. ukinunua utapewa utambulisho wa serikali ya mtaa. Nichek 0718 290 779

Ukifika pale Dege kwenye Yale Maghorofa unaingia kulia au kushoto?

Kilometer Ngapi kutoka pale?
 
Habari wadau!
Nauza viwanja ambavyo havijapimwa vyenye ukubwa wa Nusu heka. viwanja vipo Eneo la Mbutu kichangani-Kigamboni,Dsm. umbali kutoka ferry ni kama 10km. bei ya kiwanja ni 3.5ml haipungui. ukinunua utapewa utambulisho wa serikali ya mtaa. Nichek 0718 290 779
Eli79 njoo huku
 
Last edited by a moderator:
Mji mpya wa kigamboni unaishia dege kule mbele ni mashamba ya watu binafsi. ukifika pale kwenye mradi wa NSSF unaingia kushoto kilometa 4. huwezi kuuziwa mbuzi ktk gunia, kabla haujatoa pesa inabidi ujirizishe either kwenda ardhi kuulizia kama eneo limeshachukuliwa.
 
Habari wadau!
Nauza viwanja ambavyo havijapimwa vyenye ukubwa wa Nusu heka. viwanja vipo Eneo la Mbutu kichangani-Kigamboni,Dsm. umbali kutoka ferry ni kama 10km. bei ya kiwanja ni 3.5ml haipungui. ukinunua utapewa utambulisho wa serikali ya mtaa. Nichek 0718 290 779

Ok, ni eneo zuri kwa baadae, hata bei ni reasonable!!

Ila umbali wa 10km toka feri ni Uongo!! Maana feri unamaanisha kivukoni. Kama kiwanjani tu mpaka dege ni 4km je ina maana kutoka Dege mpaka feri ni 6km?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom