Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,471
- 40,829
Milipuko ya Wazi namna hiyo kuiona Mpaka Telegram?Makombora zaidi ya 20 yamepiga mji wa Lviv na Stryi na kulipuwa uwanja wa ndege za kivita na kulipua air defence Kambi za mafunzo , maghala ya silaha na visima vya mafuta kwa Sasa mji unawaka moto ili kuweza kuwachoma wanamgambo wa Ukraine walijificha kwenye mapango
[🖼 Telegram channel "Legitimate": It turns out that more than 20 missile strikes were carried out only in the city of Stryi in the Lviv region. It burns strongly, it can be seen for kilometers.
According to the data, the strikes were carried out:
1. for warehouses and hangars of fuel and lubricants.
2. For the airfield and air defense, which stands a little outside the city, protects an important transshipment base or some "workshops" for the production of "something".
3. For energy/gas infrastructure
4. There was a training center near the airfield. Over the past month, a lot of people have been brought in, taken away (perhaps there is a training center / training ground).
Locals report that there are a lot of ambulances in the city.]
Telegram channel "Legitimate": It turns out that more than 20 missile strikes were carried out only in the city of Stryi in the Lviv region. It burns strongly, it can be seen for kilometers.

Locals report that there are a lot of ambulances in the city.
Victor vicktop55, [3/24/24, 9:13 AM]
[Posted by victor]
[🎥 Video]
MK254 putin anawajua wabaya wake hadanganyiki na cnn kama wewe ambaye hujui chochote na kashaanza kazi hukoMakombora zaidi ya 20 yamepiga mji wa Lviv na Stryi na kulipuwa uwanja wa ndege za kivita na kulipua air defence Kambi za mafunzo , maghala ya silaha na visima vya mafuta kwa Sasa mji unawaka moto ili kuweza kuwachoma wanamgambo wa Ukraine walijificha kwenye mapango
[🖼 Telegram channel "Legitimate": It turns out that more than 20 missile strikes were carried out only in the city of Stryi in the Lviv region. It burns strongly, it can be seen for kilometers.
According to the data, the strikes were carried out:
1. for warehouses and hangars of fuel and lubricants.
2. For the airfield and air defense, which stands a little outside the city, protects an important transshipment base or some "workshops" for the production of "something".
3. For energy/gas infrastructure
4. There was a training center near the airfield. Over the past month, a lot of people have been brought in, taken away (perhaps there is a training center / training ground).
Locals report that there are a lot of ambulances in the city.]
Telegram channel "Legitimate": It turns out that more than 20 missile strikes were carried out only in the city of Stryi in the Lviv region. It burns strongly, it can be seen for kilometers.
According to the data, the strikes were carried out:
1. for warehouses and hangars of fuel and lubricants.
2. For the airfield and air defense, which stands a little outside the city, protects an important transshipment base or some "workshops" for the production of "something".
3. For energy/gas infrastructure
4. There was a training center near the airfield. Over the past month, a lot of people have been brought in, taken away (perhaps there is a training center / training ground).
Locals report that there are a lot of ambulances in the city.
Victor vicktop55, [3/24/24, 9:13 AM]
[Posted by victor]
[🎥 Video]
Pia usisikitike urusi anapopigwa kwa namna yoyote. Vita ni vita eti.Safii sana
Lakini awe makini isije ikamfedhehesha kama ile OP ya 72hrs. ambayo sasa ni 3yrs. Mrusi ni mdhaifu sana kimahesabu - he is very poor in mathematical calculations.MK254 putin anawajua wabaya wake hadanganyiki na cnn kama wewe ambaye hujui chochote na kashaanza kazi huko
Sasa wanamchangia ulaya nzima na marekani siyo kitu kidogo anapambana kwa kweli ingawa as usual vita ni costly uchumi lazima uyumbe maana shughuli za kiuchumi pia zinaathirika na u have to put alot of budget on security and weaponsLakini awe makini isije ikamfedhehesha kama ile OP ya 72hrs. ambayo sasa ni 3yrs. Mrusi ni mdhaifu sana kimahesabu - he is very poor in mathematical calculations.
Ni sahihi kabisa na mana nikasema ali-miscalulate ile OP. Kwa ile OP yy alidhani ataikunjakunja Ukraine fasta kumbe hakuona ni akina nani wapo (au wanaweza kuwa)nyuma ya Ukraine halafu ajipange vilivyo dhidi yao.Sasa wanamchangia ulaya nzima na marekani siyo kitu kidogo anapambana kwa kweli ingawa as usual vita ni costly uchumi lazima uyumbe maana shughuli za kiuchumi pia zinaathirika na u have to put alot of budget on security and weapons
Hizo ni mbinu za kivita,km alikosea kukokotoa iweje mpaka leo anapigana bila budget kukata?Ni sahihi kabisa na mana nikasema ali-miscalulate ile OP. Kwa ile OP yy alidhani ataikunjakunja Ukraine fasta kumbe hakuona ni akina nani wapo (au wanaweza kuwa)nyuma ya Ukraine halafu ajipange vilivyo dhidi yao.
Kazi imeanza,ni wale wapumbavu wamefanya shambulio na wakakamatwa mpakani kwa Ukraine.Hii vita uelekeo wake ni mbaya!
Lakini alichotamba ni kwamba OP itakuwa imekamilika ndani ya masaa 72. Kwa hiyo ss tunamnukuu alichotamka mdomoni mwake.Hizo ni mbinu za kivita,km alikosea kukokotoa iweje mpaka leo anapigana bila budget kukata?
Hivi broo, kama mwizi anafukuzwa huko na kwa bahati mbaya au nzuri akachukua uelekeo wa nyumbani kwako lakini akadakwa kabla hajaweza kuingia hapo kwako, wewe utahusishwaje na mwizi huyo?Kazi imeanza,ni wale wapumbavu wamefanya shambulio na wakakamatwa mpakani kwa Ukraine.
Sasa raia wa Ukraine watalipa kwa damu.
Yaleyale ya Gaza-palestina.
Zingatia "Mbinu za kivita"Lakini alichotamba ni kwamba OP itakuwa imekamilika ndani ya masaa 72. Kwa hiyo ss tunamnukuu alichotamka mdomoni mwake.
Wewe ni mwongo. Toa clip.Lakini alichotamba ni kwamba OP itakuwa imekamilika ndani ya masaa 72. Kwa hiyo ss tunamnukuu alichotamka mdomoni mwake.