kama hiyo avatar ndio wewe ingia PM fasta nikupeleke viwanja, gharama zote zanguLikizo imeanza jamaniii kwa sisi wageni wa dar jamaniii mtujuze sehemu nzuri za starehe. Maana huko ndo kuna masponsers..[emoji12] [emoji12] [emoji12] kabla hatujarudi likizo home......tumalize kona zote