Viwanja, viwanja, viwanja - mbande dsm

Viwanja, viwanja, viwanja - mbande dsm

Chocolate

Senior Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
117
Reaction score
48
Viwanja vinauzwa eneo la Mbande Tambani - Kongowe Dar es Salaam. Vina ukubwa wa futi 50 x 70, viko viwanja sita (6) ambavyo unaweza kununua kimoja kimoja kadiri ya mahitaji yako. Bei ni shilingi millioni 2.5 - mazungumzo yapo. Karibuni sana. Kwa maelekezo zaidi au ukitaka kuviona piga simu namba 0713 311008 (Hakuna madalali)
 
Back
Top Bottom