Viwanja! Viwanja! Vinauzwa Bei Poa!

ExpertBroker

JF-Expert Member
Jun 1, 2009
454
107
Kuna viwanja vinauzwa maeneo ya Kinzudi, mwisho wa Daladala. Ukubwa wa viwanja ni 20 kwa 20 (3Million) na 20 kwa 30 (4M). Unawezaingilia Salasala Kunduchi pale mbuyuni ama Goba pale Tangi bovu!

Changamkieni jamani.

Tuwasiliane

Kato2504@gmail.com
0715 85 82 45
0754 85 82 45
 
Mh nna ka plot kangu huko isije ukawa ndo wanakauza baba, sijakaendeleza bado
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom