Viwanja! Viwanja! Vinauzwa Bei Poa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja! Viwanja! Vinauzwa Bei Poa!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ExpertBroker, Feb 23, 2010.

 1. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2010
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kuna viwanja vinauzwa maeneo ya Kinzudi, mwisho wa Daladala. Ukubwa wa viwanja ni 20 kwa 20 (3Million) na 20 kwa 30 (4M). Unawezaingilia Salasala Kunduchi pale mbuyuni ama Goba pale Tangi bovu!

  Changamkieni jamani.

  Tuwasiliane

  Kato2504@gmail.com
  0715 85 82 45
  0754 85 82 45
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,857
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Mh nna ka plot kangu huko isije ukawa ndo wanakauza baba, sijakaendeleza bado
   
 3. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2010
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hapana mkubwa, due diligence ni muhimu kabla ya kuanza kuuza
   
Loading...