Viwanja vipya vya bei rahisi vinapatikana wapi

Viwanja vipya vya bei rahisi vinapatikana wapi

jmoses

Member
Joined
May 24, 2015
Posts
15
Reaction score
6
Wapendwa jana niliona tangazo la tv, TBC kuwa kuna sehemu viwanja vinauzwa kwa bei rahisi kama elfu 20000 wakati naanza kulisoma lile tangazo likayeyuka.

Je, kuna mtu mwenye taarifa zozote anisaidie.

Hukusikia vizuri, 20,000/- ni bei ya form kwa muhitaji wa kiwanja ..
 
Wapendwa jana niliona tangazo la tv, TBC kuwa kuna sehemu viwanja vinauzwa kwa bei rahisi kama elfu 20000 wakati naanza kulisoma lile tangazo likayeyuka.

Je kuna mtu mwenye taarifa zozote anisaidie.

Njoo nikuuzie changu kiko Kivule njiapanda ya shule ,ukubwa hatua 50 urefu.kwa 25 upana million 6 maongezi yapo
 
Tembelea halmashauri za wilaya za Kisarawe, Mkuranga, na Kibaha viwanja vilivyopimwa vipo vya kumwaga
 
Nakusikia sana huko kivule mwenye kupafam vizuri atujuze, panafaa kwa makazi ya cc vijana? Miundombinu je?
 
Nakusikia sana huko kivule mwenye kupafam vizuri atujuze, panafaa kwa makazi ya cc vijana? Miundombinu je?

Mimi nakushauri wewe uende ili usaidie kuleta miundo mbinu hiyo maana kama tutataka kuwaachia wazee tu itakula kwetu wakuu!
 
Back
Top Bottom