Viwanja vinauzwa mivumoni-kwa kandoro

Kidogo chetu

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
1,432
992
Viwanja vya ukubwa wa 30 x30 vinauzwa bei 4.5m kama kawaida maongezi yapo
viko barabarani kabisa

haya changamkeni
tel 0713 240967
 
Ninacho cha 35x55 hukohuko mivumoni kina hati na ada/kodi zote zimelipwa mpaka 2009 leteni offers
 
Mivumoni ni kule juu ya tegeta-teta kupita kidogo uwanja wa mpira wa panga kama unaelekea madale! walikuwa wanapima viwanja ila sijui kama hilo zoezi limemalizika!
 
hahaaa kumbe kaka wewe ni jirani yangu kule.....tupeane lifti bana kuja pale china town kupiga kitimoto na taska baridiiiiiiiii
 
nyie mnataka hati za nini?...nchi yote hii haina hati nyie mpewe hati za kufanyia nini??...kama mnataka kununua nunueni..jengeni serikali ikija kubomoa mnalipwa millioni tatu kama wenzenu wa kipawa na kurasini maisha yanaendelea....
 
Umenifurahisha sana!! Nchi hii......Inawezekana hata magogoni hapajapimwa!
 
Hayo kaka ndo maeneo ya wenye inji bana, apime nani na kwa nini?... Mkulu yupo hapo na Wizara ya Mipango mizi na vizizi ni hapo hapo, Mahakama kulu na Rufani, Banki Kulu na Wizara ya Mambo ya "Out na ushirikina kimataifa " ni hapo, Wavutia "uhamishaji rasilimali za taifa (TIC); Wizara ya Fwezeha na Buuunge la jam huuri ya mungano, Mwana Shaaria Mkulu pia ni hapo hapo, mpaka wakubwa wa Mageresa ya inji nzima na Wizara ya Utumiskishaji wa umma wapo hapo sasa unataka papimwe iweje?....

Kuna ule mradi wa Ardhi, hawa jamaa wa ardhi walijiuzia viwanja kwa laki sita sita wakaenda kubabua kwa milioni tatu tatu, isiwe na huko Mivumoni ndo same buzy?.
 
walikuja wakasavei na kuweka bicon na nondo imebaki njoo kesho huko municipal
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom