Viwanja vinauzwa jijini Dodoma.

Viwanja vinauzwa jijini Dodoma.

VIWANJA DOM

Member
Joined
May 9, 2018
Posts
66
Reaction score
51
Kutokana na uhitaji mkubwa wa viwanja Jijini hapa kampuni ya Goodneighbour real Estate inakuletea viwanja katika sehemu mbalimbali jijini hapa Bei ni cheap kutokana na uwezo wa mfuko wako Unaweza nipa bajeti yako,eneo unalohitaji nami nitakaujulisha.
mawasiliano ni 0763906676(call,sms,whatsapp.)
Karibuni.
 
Eneo la Mtumba dodoma, kiwanja kikichopimwa, squaremeter 1000 ni shilingi ngapi?
 
Anayehamia Dodoma kaacha nyumba yake Dar akiamini Dar ni bora na ndio maana katoa 250bil mwezi huu
 
eneo la ekari moja linauzwa jijini Dodoma.
Bei ni 6.5 milioni.
locationi ni michese Iringa road.
kuna umeme,maji,barabara,kupelekwa kuona ni bure kabisa na waweza lipia kwa awamu.
umbali toka town ni km 8 na nauli ya daladala ni 500tsh tu
call/watsap/sms. 0763906676
 
Sema ulivyo navyo viko maeneo gani sasa kama mteja sio mwenyeji atakutajiaje maeneo anayotaka badala ya wewe kutoa taarifa za kujitosheleza.
 
eneo la ekari moja linauzwa jijini Dodoma.
Bei ni 6.5 milioni.
locationi ni michese Iringa road.
kuna umeme,maji,barabara,kupelekwa kuona ni bure kabisa na waweza lipia kwa awamu.
umbali toka town ni km 8 na nauli ya daladala ni 500tsh tu
call/watsap/sms. 0763906676
Hapa mtapigwa
 
Back
Top Bottom