viwanja venye shagwee Ukiwa Mwanza

Kweli plazma ni matatizo ya ndoa tu pale. Mkeo akipajua halafu ukamwambia uko pale, jua hiyo ni kesi ya kusuluhishwa na Padre.

The kiss bro pale hapana, changanyikeni halafu huwa naona kama watoto wa Mbwa wengi sana(Disclaimer niliingia last time 2015).

Mzee Lema amejitahidi sana villa park kuweka mazingira standard and classic. Hata usalama wa usafiri wako pale ni uhakika. Kwa muziki wa band villa ndio best kwa mwanza.
 
Tunaanza Nyakato Comfort hotel sehem tulivu ila hakuna malaya...Chanya Malaya wachafu wanapatikana.... Makumbusho igoma pia Malaya wapo....City center igoma ngeu nje nje

Hapo kwenye ngeu kuna demu mmoja sasa hivi ni balaa uvimbe wake nyuma unafanya watu wanakunywa mpk asubuhi bila kujijua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom