Viwanja/plots za bei nafuu hizi hapa.

Gor

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,791
848
Mashamba,viwanja/plots vinauzwa

a) Mbande Chamazi Mbagala - DSM 40ft X 50ft = 6,000,000/=
b) Mbondole Ilala - DSM 40ft X 50ft = 3,000,000/=
c) Tambani Mkuranga 50ft x 50 ft - Pwani = 3,000,000/=
d) Msongola Ilala - DSM 40ft X 50ft = 5,000,000/=

*Kumbuka kujenga katika maeneo hayo yenye viwanja ni rahisi maana mchanga na maji yapo hapo hapo.

VIWANJA VYOOTE VINAUZWA KAMA SHAMBA.KUVITEMBELEA NI BURE

CONTACT; 0717288306.
 
Vina offer mkuu?!
 
next time tuwekee metric measurements/hizi empirical zinachanganya wengi. tz ilishapiga marufuku hivi vipimo vya futi/inchi/maili zamani sana.
 
Kweli kabisa mkuu

Tokea darasa la kwanza tunafundishwa mm, cm, m na km.

Leo mtu anakujia na vipimo vya foot, inch, sasa hapo kwa kweli inakuwa ngumu kuelewana.
 
Mashamba,viwanja/plots vinauzwa

a) Mbande Chamazi Mbagala - DSM 40ft X 50ft = 6,000,000/=
b) Mbondole Ilala - DSM 40ft X 50ft = 3,000,000/=
c) Tambani Mkuranga 50ft x 50 ft - Pwani = 3,000,000/=
d) Msongola Ilala - DSM 40ft X 50ft = 5,000,000/=

*Kumbuka kujenga katika maeneo hayo yenye viwanja ni rahisi maana mchanga na maji yapo hapo hapo.

VIWANJA VYOOTE VINAUZWA KAMA SHAMBA.KUVITEMBELEA NI BURE

CONTACT; 0717288306.
Mkuu nadhani hujamsikiliza Lukuvi leo kasema wote wanaonunua Shamba na kugeuza Viwanja imekula kwao... Na Hataki kusikia bei hizo... pia kama Shamba unauza uza shamba lote.. na kama unataka liwe viwanja basi unarejesha kama ni kijiji kwanza unalipwa chako and then kijiji ndio kinaomba ubadilishwaji kutoka Shamba kuwa viwanja... na wewe utakuwa mnunuzi kama hawa unaotaka kuwauzia... acheni ujanja ujanja wa kunyonya watu...

Naomba Taasisi husika ziwamulike tumetaka mabadiliko basi yawe mabadiliko...

''So Let be written, so let it be done''
 
Lukuvi aweke kwanza bei elekezi kwenye ma apartments za viongozi vilivyoko Ostabei, Masaki na Upanga ndo apate moral credibility ya kuja kutoa bei elekezi kwenye viwanja vyetu vya mapinga, Mkuranga na Chanika.
 
Anataka viwanja viwe kama sugar
 
Serikali imetahadharisha kuuza SHAMBA KAMA KIWANJA. WATCH OUT BUYERS
 
Mita 1 = futi 3.28

Hivyo mtu akitangaza kwa futi inaonekana ni kiwanja kikubwa sana wakati ukweli ni kwamba hicho ni kiwanja kidogo mno.

Mfano:
Futi 40 x 50 ni sawa na MITA 12 x 15

Jamani tangazeni kwa vipimo vilivyozoeleka na watu wengi ili mtu asijepoteza muda wake kuja kuona kiwanja na kupiga simu wakati hakimtoshi.

Na anayetaka kidogo naye atajua mapema .
 
Mita 1 = futi 3.28

Hivyo mtu akitangaza kwa futi inaonekana ni kiwanja kikubwa sana wakati ukweli ni kwamba hicho ni kiwanja kidogo mno.

Mfano:
Futi 40 x 50 ni sawa na MITA 12 x 15

Jamani tangazeni kwa vipimo vilivyozoeleka na watu wengi ili mtu asijepoteza muda wake kuja kuona kiwanja na kupiga simu wakati hakimtoshi.

Na anayetaka kidogo naye atajua mapema .
 
Mashamba,viwanja/plots vinauzwa

a) Mbande Chamazi Mbagala - DSM 40ft X 50ft = 6,000,000/=
b) Mbondole Ilala - DSM 40ft X 50ft = 3,000,000/=
c) Tambani Mkuranga 50ft x 50 ft - Pwani = 3,000,000/=
d) Msongola Ilala - DSM 40ft X 50ft = 5,000,000/=

*Kumbuka kujenga katika maeneo hayo yenye viwanja ni rahisi maana mchanga na maji yapo hapo hapo.

VIWANJA VYOOTE VINAUZWA KAMA SHAMBA.KUVITEMBELEA NI BURE

CONTACT; 0717288306.
Hivi kweli ilichokiandika unakielewa? Hii 40ftX50ft unajenga nyumba au kiota? Hivi vipimo ni sawa na185.80608m², kwa bei hizo ni wizi mtupu.
 
next time tuwekee metric measurements/hizi empirical zinachanganya wengi. tz ilishapiga marufuku hivi vipimo vya futi/inchi/maili zamani sana.
next time tuwekee metric measurements/hizi empirical zinachanganya wengi. tz ilishapiga marufuku hivi vipimo vya futi/inchi/maili zamani sana.
===========================================================================
Kwa faida ya wengi:-
a) Mbande Chamazi Mbagala - DSM 40ft X 50ft ( 12.192 m x 15.24 m) = 6,000,000/=
b) Mbondole Ilala - DSM 40ft X 50ft ( 12.192 m x 15.24 m) = 3,000,000/=
c) Tambani Mkuranga 50ft x 50 ft (15.24 m x 15.24 m) - Pwani = 3,000,000/=
d) Msongola Ilala - DSM 40ft X 50ft (12.192 m x 15.24 m) = 5,000,000/=

Kumbuka:-
1 Acre = 4046.85662 sqm.
===========================================================================
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom