Viwanja Chamazi na Msongola

Gor

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,791
848
viwanja/plots vinauzwa

a) Mbande Chamazi Mbagala - DSM 40ft X 50ft = 6,000,000/=
b) Mbondole Ilala - DSM 40ft X 50ft = 3,000,000/=
c) Tambani Mkuranga 50ft x 50 ft - Pwani = 3,000,000/=
d) Msongola Ilala - DSM 40ft X 50ft = 5,000,000/=

*Kumbuka kujenga katika maeneo hayo yenye viwanja ni rahisi maana mchanga na maji yapo hapo hapo.

VIWANJA VYOOTE VINAUZWA KAMA SHAMBA.KUVITEMBELEA NI BURE

CONTACT; 0717288306.email - viwanjanafuu@gmail.com
 
Hizo bei mkuu umepiga mara 3 zaidi.

Sio fair kabisa.

Maeneo uliyotaja yako nje sana ya jiji,

Usafiri bado ni mgumu kiasi.

Kiwanja cha milioni 1.5 wewe umepiga mara 3..

MIMI niko msongola. Naongea kweli
 
Hizo bei mkuu umepiga mara 3 zaidi.

Sio fair kabisa.

Maeneo uliyotaja yako nje sana ya jiji,

Usafiri bado ni mgumu kiasi.

Kiwanja cha milioni 1.5 wewe umepiga mara 3..

MIMI niko msongola. Naongea kweli
Ntakutembelea mkuu siku moja in shaa Allah
 
hehe.. uko wapi wewe mkuu? huko tambani watu tunaenda kwa gari za mchanga. daladala mwisho mbande halafu mtu ananiuzia kiwanja kwa milioni tano, daah

Karibu sana huku kwetu
Mimi natafuta maeneo ya mbande mkuu, kwa sasa nipo mombasa nikirudi Dar ntakucheki nahitaji kakiwanja japo kamoja mkuu
 
Natafuta kiwanja maeneo hayo ya Msongola mazee... Kisiwe mbali sana na barabara...

Halafu kwa wenyeji mliopo hivi umeme na maji vimeshafika!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom