Viwanja/plots za bei nafuu hizi hapa.

Viwanja/plots za bei nafuu hizi hapa.

Lukuvi aweke kwanza bei elekezi kwenye ma apartments za viongozi vilivyoko Ostabei, Masaki na Upanga ndo apate moral credibility ya kuja kutoa bei elekezi kwenye viwanja vyetu vya mapinga, Mkuranga na Chanika.
Wewe unaleta ubishi usio na kichwa wala Miguu huwezi Shindana na Serikali... kalaghabao... ndio Ishaandikwa na Ifanyike...

''So let be Written so let it be done''
 
===========================================================================
Kwa faida ya wengi:-
a) Mbande Chamazi Mbagala - DSM 40ft X 50ft ( 12.192 m x 15.24 m) = 6,000,000/=
b) Mbondole Ilala - DSM 40ft X 50ft ( 12.192 m x 15.24 m) = 3,000,000/=
c) Tambani Mkuranga 50ft x 50 ft (15.24 m x 15.24 m) - Pwani = 3,000,000/=
d) Msongola Ilala - DSM 40ft X 50ft (12.192 m x 15.24 m) = 5,000,000/=

Kumbuka:-
1 Acre = 4046.85662 sqm.
===========================================================================
Huko Mbali kote unataka watu waje kuishi au kulima? na wewe hivyo ni viwanja au Mashamba maana Serikali imeweka wazi Shamba huwezi ligeuza viwanja.. kijiji pekee ndio kina uwezo wa kuomba kibali cha kubadilisha kutoka Shamba kwenda Viwanja na ujue unapoteza haki zote za kumiliki...
 
Wewe unaleta ubishi usio na kichwa wala Miguu huwezi Shindana na Serikali... kalaghabao... ndio Ishaandikwa na Ifanyike...

''So let be Written so let it be done''
Sina uhakika kama umewahi kusoma sheria ya Ardhi No. 4 ya 1999 na ile ya mipangomiji No. 8 ya mwaka 2007. Mh. Waziri anafurahisha baraza mpaka abadilishe hizo sheria bungeni. Ile kauli "kuanza leo" haina mashiko yoyote mbele ya Sheria.
 
Kwa Magufuli ndio i

shawezekana kama Sheria za kuibia watu hataki kuzisikia na amesema sio kwenye utawala wake... unalo hilo mkuu
 
kiwanja cha 12m by 15m unasema kinauzwa kama shamba. duh! sbb apo at kujenga nyumba ni eneo dogo sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom