VIWANJA/MASHAMBA VINAUZWA

Gor

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,791
848
Viwanja/plots

a) Mbande Chamazi Mbagala - DSM 40ft X 50ft = 5,000,000/=
b) Mbondole Ilala - DSM 40ft X 50ft = 3,000,000/=
c) Tambani Mkuranga 50ft x 50 ft - Pwani = 3,000,000/=
d) Msongola Ilala - DSM 40ft X 50ft = 5,000,000/=
e) Mbande mnara wa tigo mtaa wa Rufu - DSM 45ft x 80ft = 8,500,000/=
f) Mbande mnara wa tigo 50ft x 50ft na matofali 4000 na mchanga lorry moja - 13,000,000/=

Mashamba

a
) Kisarawe Dole Heka I (70m x 70m) = 2,500,000/= Ipo karibu na Mvuti/msongola.

b) Kisarawe heka 1 (70m x 70m) = 2,500,000/= ipo karibu na Pugu

c) Mwanambaya njia Mkurunga 1 heka = 8,000,000/=


* Maelewano yapo pia unaweza kulipa kwa awanu 2.

*Kumbuka kujenga katika maeneo hayo yenye viwanja tajwa ni rahisi maana mchanga na maji yapo hapo hapo.

CONTACT; 0717288306.

Wekeza kwenye ardhi utajirike zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom