Viwanja/Nyumba Zinauzwa Dsm

Plot Agent

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
311
20
VIWANJA GOBA MUUNGANO

•Location: Viwanja vipo Goba Muungano
•Direction: Kilomita 6 Kutoka Goba Stendi
•Ukubwa: 400 Sqm Bei: Tsh 10 Milioni
•Ukubwa: 800 Sqm Bei: Tsh 20 Milioni
•Ukubwa : 600 Sqm Bei: Tsh 15 Milioni

MENGINEYO:
•Umeme Upo
•Barabara Hadi Kwenye Kiwanja
• Viwanja Vina document ya Serikali ya Mtaa

TUWASILIANE: 0685917621 // 0675107182
 
NYUMBA MBEZI BEACH

• Location: Mbezi Beach Tangibovu
• Direction: Mita 200 Kutoka Bagamoyo Rd
• Ukubwa Wa Uwanja: Sqm 400
• Status: Surveyed With Titledeed
• Bei: Tshs 200,000,000

MAWASILIANO: 0685917621 // 0675107182
 
NYUMBA MBEZI BEACH

• Location: Mbezi Beach Tangibovu
• Direction: Mita 200 Kutoka Bagamoyo Rd
• Ukubwa Wa Uwanja: Sqm 600
• Status: Surveyed With Titledeed
• Bei: Tshs 300,000,000

MAWASILIANO: 0685917621 // 0675107182
Picha za Nyumba
IMG_20180320_172445_867.jpg
IMG_20180320_172445_847.jpg
 
Hatujaandika Kuwa ni fixed price so Maelewano yapo wala Usishangae, Mwengine anaweza Kuandika Zaidi ya iyo na mwingine anaweza kuandika Chini ya iyo.
Ila muonage aibu yaani unazidisha 100M as if ni pesa ya Zimbabwe. Kwa style hiyo ninahisi mtu akikuzunguka akaenda kwa mwenye nyumba si ajabu akakuta bei yake ni 70-120M
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom