Wewe tapeli nae una hela za kununua kiwanja au unachora tu watu humu?Details hazijitoshelezi, bei+ukubwa wa viwanja hujaweka
Kuwa makini na huyo mtu,ni tapeli.Viwanja kuanzia ukubwa wa mita 20×20
Bei zinaanzia million 3.5 hadi million 8
Inategemea na eneo kiwanja kilipo
Huduma zote zipo
Barabara ya lami ipo kilomita 2, inaendelea kuwekwa lami
Karibu
0744757738/0784376888
Kivipi mkuuKuwa makini na huyo mtu,ni tapeli.
Acha wasingizia watuKuwa makini na huyo mtu,ni tapeli.
Tangazo halijaeleweka.kabisaHabari. Nina viwanja vinavyouzwa Kibaha kwa Mfipa jirani na chuo cha Mwalim Nyerere.
Pia zipo nyumba zinazouzwa hapo hapo Kibaha kwa Mfipa.
Unaweza wasiliana nami
Aongeze na picha za Nyumba.Details hazijitoshelezi, bei+ukubwa wa viwanja hujaweka
Kweli ili waliointerested wapate pa kuanziaAongeze na picha za Nyumba.
Maneno makali sana haya ila yanaingia vilivyoMnunue viwanja mjenge siyo mngojee yale ya yule mkurugenzi wa Tanesco.
Jengeni kwanza nyumba zenu , mnawaza kutapeliwa tu, nunua wakikutapeli njoo niko mtaa huu huu.
Ah mrembo mwenye cpa yako unataka kuweka hapo kibahaDetails hazijitoshelezi, bei+ukubwa wa viwanja hujaweka
Ndiyo mkuu, nataka nianze kuweka kidogo kidogo, njoo tuchukue wote tuwe majirani 😀Ah mrembo mwenye cpa yako unataka kuweka hapo kibaha
Tutajengewa nyumba yetu ya milele tena haina bugudha kabisa upo mwenyewe na wala hutumii senti tano kujengaMnunue viwanja mjenge siyo mngojee yale ya yule mkurugenzi wa Tanesco.
Jengeni kwanza nyumba zenu , mnawaza kutapeliwa tu, nunua wakikutapeli njoo niko mtaa huu huu.
Hii akili besty...lini twende pamoja tukaone viwanja hivyoNdiyo mkuu, nataka nianze kuweka kidogo kidogo, njoo tuchukue wote tuwe majirani 😀
Ila hamna kuombana mbususu ni ujirani tu labda chumvi😀😀Hii akili besty...lini twende pamoja tukaone viwanja hivyo
Wee tatizo lako wanaiwazia vibaya tuu....mie mbususu sikuombi utanipea mwenyeweIla hamna kuombana mbususu ni ujirani tu labda chumvi😀😀
JiraniiiWee tatizo lako wanaiwazia vibaya tuu....mie mbususu sikuombi utanipea mwenyewe