- Thread starter
- #21
Million 43 ipo Kibaha MwendapoleKweli ili waliointerested wapate pa kuanzia
Toka stendi unatembea tu
0744757738/0784376888
Million 43 ipo Kibaha MwendapoleKweli ili waliointerested wapate pa kuanzia
Million 25Kweli ili waliointerested wapate pa kuanzia
Nyumba mbili kwenye eneo mojaAongeze na picha za Nyumba.
Tusijelewe jirani tena mie nasimamia ujenzi wa nyumba zetu jirani. Tuweke na swimming pool kabisaJiraniii
Million 45Nyumba mbili kwenye eneo moja
Million 26
Ipo kibaha miembe saba
0744757738/0784376888
Sqm ngapi hikiMillion 25
Ipo Kibaha miembe saba
0744757738
financial services tujichange hapa fasta jirani tena tupo compound mojaNyumba mbili kwenye eneo moja
Million 26
Ipo kibaha miembe saba
0744757738/0784376888
Sawa jirani, ngoja niweke kibubuTusijelewe jirani tena mie nasimamia ujenzi wa nyumba zetu jirani. Tuweke na swimming pool kabisa
Hii ni mita 18×38Sqm ngapi hiki
Dah natamani ila ndiyo kwanza nimenunua kibubu nianze kutunza pesafinancial services tujichange hapa fasta jirani tena tupo compound moja
Viwanja million 5Sawa jirani, ngoja niweke kibubu
Million 26Dah natamani ila ndiyo kwanza nimenunua kibubu nianze kutunza pesa
Boma lipo Kibaha kwa MfipaAongeze na picha za Nyumba.
Safi hiyo njoo nakukopesha utanilipa taratibu jirani najua hiwezi nikimbiaDah natamani ila ndiyo kwanza nimenunua kibubu nianze kutunza pesa
😀😀 umepania kweli tuwe majirani, nashukuru jiraniSafi hiyo njoo nakukopesha utanilipa taratibu jirani najua hiwezi nikimbia
Ah wee kuwa na jirani mzuri mzuri muhimu....inakupa hamasa ya kurudi nyumbani mapema usalimiane na jirani😀😀 umepania kweli tuwe majirani, nashukuru jirani
😀😀 tutakua tunapika huku, kwako unaenda kulala tuAh wee kuwa na jirani mzuri mzuri muhimu....inakupa hamasa ya kurudi nyumbani mapema usalimiane na jirani
Ewaaa! Hapo umenipata kabisa. Kila siku nakuachia 15k jirani ukaangize nile nishibe ili kibamia kipate kukua.😀😀 tutakua tunapika huku, kwako unaenda kulala tu