Viwanja Migomigoooooooooo

Viwanja Migomigoooooooooo

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
315841_555172114511833_122014799_n.jpg
 
hivi kukaa uchi siku hizi imekuwa sehemu ya fasion ya baadhi ya wadada!!!
 
du!!!!na wale wanao itwa wife materials nao wanakaa hivyo!!!
Kama walipatikana kwa njia kama hii unadhani hata wakiwa na wanaume wao watabadilika?Utashangaa kumuona mke wa mtu kavaa kinguo yaani akiinama kila kitu hadharani na yupo na mumewe huku jamaa akiwa hana wasiwasi anaona kila kitu sawa tu.
 
tunalea watoto katika mazingira magumu sana siku hizi!!
 
Kweli kabisa mkuu Zamaulid na wanaochangia kuharibu watoto ni wazazi ambao wanajiona bado ni vijana na hata mahali ambapo wanatakiwa kukemea huacha tu na kuishia kusema ndio maisha ya siku hizi.
 
Hivi siku hizi kuwa mzuri ni kuwa malaya? ni kuwa Changu? maana siwaelewi hawa ndugu zangu bhana ila ni wazuri
 
Kweli kabisa mkuu Zamaulid na wanaochangia kuharibu watoto ni wazazi ambao wanajiona bado ni vijana na hata mahali ambapo wanatakiwa kukemea huacha tu na kuishia kusema ndio maisha ya siku hizi.
Joseph tatizo,kuna wazazi watoto siku hizi!!!wao wenyewe ni watoto,hawajui malezi bora ni yapi!wanaishi kwa maisha ya maigizo zaidi hivyo hata watoto wanao wazaa mkondo unakuwa ni ule ule!!!
 
Last edited by a moderator:
Joseph tatizo,kuna wazazi watoto siku hizi!!!wao wenyewe ni watoto,hawajui malezi bora ni yapi!wanaishi kwa maisha ya maigizo zaidi hivyo hata watoto wanao wazaa mkondo unakuwa ni ule ule!!!
Hakika nalo hili ni tatizo katika jamii yetu siku hizi,kuna kazi kubwa sana kurejesha maadili ambayo wazazi wetu walikuwa nayo,heshima na adabu katika jamii haipo tena siku hizi,hakuna cha babu wala mjukuu wote wanakula sahani moja.
 
unazao tutafanikiwa kuyarejesha yale wanayo yaita ya kizamani!!hiyo isha pita tuendelee tu hivi hivi tukisubiri mwisho wa dunia,hivi walisema utakuwa mwezi huu vile?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom