Viwanja /mashamba vinauzwa Moshi

Jenseny

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
1,743
1,737
Kwa mahitaji ya viwanja mashamba na ardhi za kukodi /kununua kwa ajili ya makazi kilimo parking za magari sheli na shule

Maeneo ya shiratunda, Sango, Pumwani, Kawawa, Miwaleni, Uchira, Njiapanda na Himo mjini nitafute
Kwa ukubwa wa kuanzia metre 17.5 kwa 35 hadi heka 20

Kwa bei ya mill 3 hadi mill 300


Nipigie
0658825141
0621068486
 
2020 CHADEMA watachukua NCHI Serikali ikihamia tena Moshi 2021 nitakuja kununua...
 
Mbwa haruki hauna kiwanja?? Mi nataka shah tours, mbwa haruki, hadi mjohoroni budget 3m
 
npigie ila kwa mil 3 huwez pata labda 5 tena ni mtre 20 kwa 20 labda kwa kawawa na uchira piga hiyo namba 0621068486
 
Back
Top Bottom