Viwanja kwa ajili ya vituo vya mafuta Manispaa Dodoma

Viwanja kwa ajili ya vituo vya mafuta Manispaa Dodoma

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
13,384
Reaction score
11,281
Msalato njia kuu ya kuelekea Arisha kuna kiwanja Na 132/2 Msalato Manispaa ya Dodoma cha eka 2 kpo Barabarani kabisa na hapohapo ni Nkia panda ya kuelekea utakapokuwa Uwanja wa Kimataifa wa Msalato Dodoma
Ramani na vibali vyote vimeshaidhinishwa na Mamlaka husika, kama ujenzi ni ghorofa mbili, kuna parking, drainage sys, parking etc Bei ni milioni 250 (250.000.000/=) mawasiliano 0769-219868

Nala baada ya Mizani tu, pia kuna ekari 2, kiwanja kina Hati iliyopitishwa na Mamlaka husika,
Kiwanja hiki kipo Nala No 20 Kitalu H Manisapaa ya Dodoma, barabara iendayo Singida Kilomita 10 kutoka Mjini Dodoma bei ni 170.000.000/= mawasiliano 0769-219868
Pia kuna shamba ekari 4 No 95 Broad-ecre lipo barabarani kabisa njia ya Dodoma Singida pnafaa kwa Kiwanda / Godown / Petrol Station
mawasiliano 0769-219868
 

Attachments

  • msalato.jpg
    msalato.jpg
    12 KB · Views: 43
  • msalato nala.jpg
    msalato nala.jpg
    45.3 KB · Views: 52
  • Nala.jpg
    Nala.jpg
    18.4 KB · Views: 51
Back
Top Bottom