L Lady Mwali Senior Member Joined Nov 15, 2018 Posts 147 Reaction score 333 Jan 12, 2022 #1 Kuna kampuni moja inatangaza inauza viwanja kwa ofa kuanzia laki moja (20x20) maeneo ya Bagamoyo. Mwenye taarifa zaidi? Chanzo E.FM
Kuna kampuni moja inatangaza inauza viwanja kwa ofa kuanzia laki moja (20x20) maeneo ya Bagamoyo. Mwenye taarifa zaidi? Chanzo E.FM
Nas Jr JF-Expert Member Joined May 15, 2018 Posts 7,916 Reaction score 8,713 Jan 12, 2022 #2 Kuwa makini sana na hizo kampuni,,, kiwanja unaweza nunua leo halafu after 15 years ukaja letewa zengwe.... Zingatia ramani zao na kajiridhishe kwenye mamlaka husika.
Kuwa makini sana na hizo kampuni,,, kiwanja unaweza nunua leo halafu after 15 years ukaja letewa zengwe.... Zingatia ramani zao na kajiridhishe kwenye mamlaka husika.
U utah jazz JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,814 Reaction score 4,003 Jan 12, 2022 #3 Bagamoyo kubwa kuna vijiji iyo bei ni kawaida. Ama kuna mtu wameshamuandaa nyuma ya pazia anaenda kuchukua hekari za kutosha
Bagamoyo kubwa kuna vijiji iyo bei ni kawaida. Ama kuna mtu wameshamuandaa nyuma ya pazia anaenda kuchukua hekari za kutosha
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,270 Reaction score 64,394 Jan 12, 2022 #4 Inawezekana, kuna maeneo ekari moja ni laki moja
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,648 Reaction score 196,330 Jan 12, 2022 #5 Inaweza kua Bei hiyo ila wakawa na kuanzia hekari fulani...