PATA KIWANJA SASA VIKO SEHEMU TAMBARARE NI 50ft x 40ft NA BEI NI 3MILLION ENEO NI CHAMAZI KARIBU NA UWANJA WA AZAM TEMEKE NA MSONGOLA ILALA. CONTACT NI 0717 288306
huyu jamaa ana asili ya wizi na kanjanja fulani... hicho kiwanja hata bafu na choo utapata shida pa kurundika mchanga uliochimbwa. lolNdugu unatumia vipimo vya ft kuwazuga watu waone kiwanja ni kikubwa au...? Jaribuni kuwa wakweli kwenye biashara kwa nini usiweke kwa mita? Kwa faida ya wana JF 1ft=0.3m kwa hiyo 50ft=15m, 40ft= 12m kwa hiyo kiwanja hiki kina ukubwa wa 15m x 12m maana yake bei ya kiwanja kwa square meter ni 3,000,000/15 x 12= 16,667. Ni wangapi humu wanamudu kununua kiwanja (pengine hakina hati) kwa 16,667? Tuwe na huruma jamani.
huyu jamaa ana asili ya wizi na kanjanja fulani... hicho kiwanja hata bafu na choo utapata shida pa kurundika mchanga uliochimbwa. lol
Ndugu unatumia vipimo vya ft kuwazuga watu waone kiwanja ni kikubwa au...? Jaribuni kuwa wakweli kwenye biashara kwa nini usiweke kwa mita? Kwa faida ya wana JF 1ft=0.3m kwa hiyo 50ft=15m, 40ft= 12m kwa hiyo kiwanja hiki kina ukubwa wa 15m x 12m maana yake bei ya kiwanja kwa square meter ni 3,000,000/15 x 12= 16,667. Ni wangapi humu wanamudu kununua kiwanja (pengine hakina hati) kwa 16,667? Tuwe na huruma jamani.
....kiwanja yenye ukubwa kama hicho kariakoo ni 200,000,000/=,na chang'ombe ni 60,000,000/=,na chamazi stand 5,000,000/=.Wewe hauna fedha......mpaka jumapili itakuwa imeshauzwa!.huyu jamaa ana asili ya wizi na kanjanja fulani... hicho kiwanja hata bafu na choo utapata shida pa kurundika mchanga uliochimbwa. lol
Mkuu kama mtu anaweza kulipa TZs 16,000 kwa Square metre kwa kiwanja ambacho hakijapimwa kwanini asiende kununua vilivyopimwa kigamboni kwa TZS 8,000 kwa Square metre? Watu tujitahidi kutafuta taarifa kabla ya kufanya maamuzi. utanunua kibovu kwa gharama ilhali kizuri kipo kwa bei rahisi.
Nenda Mkuranga Mjini utapata kiwanja ekari moja ambayo haijapimwa kwa TZS 1,000,000 kabla ya maongezi. kapimishe mwenyewe ardhi upate viwanja 4 vya square metre 1,000 kila kimoja. Kwa sisi wenye hela nyembamba ni vizuri kuangalia options nyingi kuliko kukurupuka.
kila la kheri ...ila najua hutauza!....kiwanja yenye ukubwa kama hicho kariakoo ni 200,000,000/=,na chang'ombe ni 60,000,000/=,na chamazi stand 5,000,000/=.Wewe hauna fedha......mpaka jumapili itakuwa imeshauzwa!.
....kiwanja yenye ukubwa kama hicho kariakoo ni 200,000,000/=,na chang'ombe ni 60,000,000/=,na chamazi stand 5,000,000/=.Wewe hauna fedha......mpaka jumapili itakuwa imeshauzwa!.
Gor usifananishe thamani ya kiwanja kariakoo na chamazi, kariakoo nanunua kwa madhumuni ya biashara. Nanunua ili nijenge frame zitakazonirudishia hela yangu pamoja na faida kutokana na biashara nitakayofanya. Huyo wa Chamazi ni mnyonge anayetaka kuisitiri familia yake, wewe unakuja na kuamua kumnyonga kwa kuwa tu unanafasi ya kumnyonya. Unakosaje utu kwa binadamu mwenzio? Huoni huo ni wizi wa mchana kweupe?
PATA KIWANJA SASA VIKO SEHEMU TAMBARARE NI 50ft x 40ft NA BEI NI 3MILLION ENEO NI CHAMAZI KARIBU NA UWANJA WA AZAM TEMEKE NA MSONGOLA ILALA. CONTACT NI 0717 288306