Viwanja Ilala kwa bei nafuu

Viwanja Ilala kwa bei nafuu

tunashukuru kwa taarifa,je hivo viwanja vishakua surveyed tayar?gharama ni shillingi ngap kwa kila sqm,vina ofa au hati?Umbali gan toka barabara kuu?
 
Size: 20m x 20m

50f x 40f

Location: Msongola - Ilala 3km away from Azam complex ground.

Price: Negotiable

* Private surveyor are on the field.

* Buyer can double size.........

contact : 0717 288306( mr.Ogiro)

 
Plots with various size are on sales at Msongola Ilala located 5km away from Azam complex ground chamazi.Price is negotiable.

Call 0717 288306(Mr.Ogiro)
 
Mahali palipo na viwanja: Msongola ilala
Size na bei ya kiwanja : 50ft x 40ft = 3000,000/=
Mazingira: Tambarare

Commission : 30,000/= kwa kila mauzo ya kiwanja kwa mteja utakaye mleta

Angalizo; mteja anaweza kudouble viwanja kadri ya uwezo wake.

* Kila kiwanja inafikiwa na barabara.

Mawasiliano: 0717 288306
 
hivi viwanja ni vyako ?
je kama nataka niende na wewe manispaa ili tujue kama havina tatizo au havipo kwenye barabara katika ramani yetu uko tayari twende wote kabla sijanunua?

je ikitokea kuwa kuna matatizo katika hivyo viwanja utanisaidiaje kwa hilo? au nitakuwa tayari nimeshapoteza hela yangu ?
 
mkuu mbona unakimbia maswali hebu ludi haraka ujibu hayo maswali afu nasimu ndo umezima kabisaaa...
 
Residencial Plots with various size are on sale at MSONGOLA ILALA DISTRICT.3KM away from Azam complex.The smallest size is 50ft x 40ft and price starting 3m/= and negotiable.
Other size as follow; 20m x 20m = 6m/=and negotiable

Contact;0717 288306.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom