vile viwanja viko Arusha DC sio Arusha municipality,madiwani wenye mgogoro wako Ar municipality.Madiwani wa magwanda wana mgogoro ulioanzishwa na uongozi wa magwanda, wamelimwa barua wajiuzulu wao wamegoma kujiuzulu, tunangoja sakata la madiwani wa magwanda kwanza liishe ndio tuulizie hizo habari zingine.
vile viwanja viko Arusha DC sio Arusha municipality,madiwani wenye mgogoro wako Ar municipality.
Madiwani wa magwanda wana mgogoro ulioanzishwa na uongozi wa magwanda, wamelimwa barua wajiuzulu wao wamegoma kujiuzulu, tunangoja sakata la madiwani wa magwanda kwanza liishe ndio tuulizie hizo habari zingine.
Sakata la madiwani wa magwanda liko manispaa ya Arusha, na mgogoro wa viwanja uko halmashauri ya arusha(v), baada ya uchaguzi mkuu walitoa majina ya watu waliopata viwanja vya burka wengi wao walikuwa vigogo ka kina marmo, kimei wa crdb, watoto wa lowassa, riz1, sophia simba, wilson kabwe, matajiri wa kihindi wa arusha ka kina jandu na vigogo wengi ambao huishi Dar huku wanaarusha wengi wao wakiwa middle class, ikiwemo na mimi ambaye nilijaza form 6 ambao walijipanga foleni kuanzia saa 1 asubuhi na kulipia elfu kumi ya form waliambulia patupu, na tuliwasilisha hili suala kwa mbunge wetu mh. Goodluck Ole Medeye ambaye pia ni naibu waziri wa ardhi ila bado hajashughulikia swala hili. Kutoka ktk kata yetu ambayo iko chini ya CDM tulimtuma diwani wetu kwa kushirikiana na madiwani wengine 6 wa CDM walifuatilia suala hili bila mafanikio kukiwa na kila dalili kuwa mkurugenzi hana jibu kwani na yeye ni kama alikuwa anapokea maagizo toka juu kuhusu ugawaji wa hivo viwanja so nafkiri nguvu ya umma ichukue mkondo wake ktk hili sualaMadiwani wa magwanda wana mgogoro ulioanzishwa na uongozi wa magwanda, wamelimwa barua wajiuzulu wao wamegoma kujiuzulu, tunangoja sakata la madiwani wa magwanda kwanza liishe ndio tuulizie hizo habari zingine.
Wewe mbibi wewe! Uliambiwa na nani halmashauri ya wilaya ya Arusha inaongozwa na hao unaowaita magwanda?Madiwani wa magwanda wana mgogoro ulioanzishwa na uongozi wa magwanda, wamelimwa barua wajiuzulu wao wamegoma kujiuzulu, tunangoja sakata la madiwani wa magwanda kwanza liishe ndio tuulizie hizo habari zingine.