Viwanja na Nyumba
Member
- Apr 4, 2012
- 56
- 3
Huko wachawi sana, wilaya ya temeke inagundu wako wamatumbi na wandengereko kazi yao kubwa ni kuroga tu. Mi sikutaki hata kama ingekuwa bure.
Mh! haya haya , jamani nawaomba msinunue viwanja bila kuuliza ardhi 1MIRADI YA SERIKALI IMEZIDI SASA , kila mmoja anataka kula kupitia MIRADI, ukinunua kesho utaambiwa kuna mradi fulani ! husisha ardhi tafadhali usije kulia kama wakaazi wa Bagamoyo na Kigamboni Kikwete anataka KUIUZA DARESALAAM NA VITONGOJI VYAKE KABLA HAJAONDOKA KATIKA URAIS....
Viwanja na Nyumba,
Naomba email yenu nataka kuwasiliana na ninyi kwa mambo ya kununua nyumba eneo fulani
Asate kunipatia email yenu
By the way, kwa wale mlioko mbali mnaweza kulipia viwanja vyenu kupitia TIGO PESA 0718-617-522. Lipia na utume sms ya jina unalotaka liandikwe kwenye hati.
Karibuni, 'VIWANJA NA NYUMBA, 0718-617-522.
Dakika 45 kwandege hupo Lugumbash wewe unaenda Vianzi!Viwanja vinauzwa 'direct' bila kuhusisha madalali, viko Vianzi, wilaya ya Mkuranga mwendo wa dakika 45 kwa gari toka Mbagala Rangi 3.
Vimekatwa mita 20 kwa mita 20 na vinauzwa tsh. laki tatu tu, kwa kila kiwanja. Bei imejumuisha malipo ya ushuru wa kijiji na ukishalipia Laki tatu unapewa Hati ya kumiliki kiwanja chako iliyosainiwa na Viongozi husika wa Kijiji cha Vianzi.
Vimebaki vichache sana, anayewahi kulipia cash ndiye atakayepata. Nipigie simu au sms: 0718-617-522.
Jinsi ya kufika: pale Mbagala Rangi 3 panda basi la Vianzi Malela, shukia njia panda ya Manyani kuna barabara ndogo ya gari ifuate, mwendo wa robo saa kwa mguu utafika. Au ukishuka tu hapo Manyani, nipigie simu nikupe kijana wa kukuonyesha.
Karibuni sana, 'VIWANJA NA NYUMBA'. 0718-617-522.
Kuweni makini na hiyo biashara msijeingizwa mjini!!!!