ok nitakuja kuhakikisha kwa niaba ya great thinkers wote weekend
By the way, kwa wale mlioko mbali mnaweza kulipia viwanja vyenu kupitia TIGO PESA 0718-617-522. Lipia na utume sms ya jina unalotaka liandikwe kwenye hati.
Karibuni, 'VIWANJA NA NYUMBA, 0718-617-522.
Sasa wewe si dalali kabisa? Coz maelezo yako yanaonesha unapiga debe,sory kwa neno kali.iyo hati miliki naipata baada ya mda gani?
Viwanja na Nyumba kaingia mitini nini, mbona hasikiki tena?Asee hivyo viwanja bado unavyo; nna kijana wangu nataka nikuunganishe naye mfanye biashara"
Viwanja na Nyumba kaingia mitini nini, mbona hasikiki tena?
Hop atarudi; kwani hakuna alovinjari anga hizo atupe mlisho nyuma hapa?
Mimi nilikwenda huko. Kwa kweli ni mbali. Maana kama utapanda daladala za kwenda vikindu utashuka somewhere na utapanda tena daladala lingine then utashuka somewhere. Then kutoka hapo hakuna tena daladala unasaga ngondi kwa takribani dkk 10 --15 hivi. Hayo ni maeneo nadhani kwa ajili ya kuanzia miaka 10 na ushee ijayo. Maono yangu tu