I inchaji JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 2,654 Reaction score 5,462 Dec 28, 2025 #1 Pamoja na kuwa tuna vivutio vingi vya kitalii, Tanzania hatumo. Tunakwama wapi?
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 14,137 Reaction score 33,549 Dec 28, 2025 #2 😃 Ndege zenyewe za ndani kama daradara,yani ndege inatoka dar inshuka tabora inaruka tena kahama inakwenda mwanza yani wanashuka na wanaingia wengine. Makodi na matozo serikali ya ccm yanafanya safari za ndege kuonekana kama anasa. Ubinafsi ambao utaki kuruhusu makampuni mengine. La mwisho sisi hatuna uthubutu wa kusafiri.Mfano tu hapo ulipo nenda wilaya nyengine utaanza kujifikiria itakuwaje.
😃 Ndege zenyewe za ndani kama daradara,yani ndege inatoka dar inshuka tabora inaruka tena kahama inakwenda mwanza yani wanashuka na wanaingia wengine. Makodi na matozo serikali ya ccm yanafanya safari za ndege kuonekana kama anasa. Ubinafsi ambao utaki kuruhusu makampuni mengine. La mwisho sisi hatuna uthubutu wa kusafiri.Mfano tu hapo ulipo nenda wilaya nyengine utaanza kujifikiria itakuwaje.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,496 Reaction score 185,684 Dec 28, 2025 #3 Sisi bado ni wachanga sana... Cc: Mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 Dec 28, 2025 #4 Smart911 said: Sisi bado ni wachanga sana... Cc: Mahondaw Click to expand... Dah!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,496 Reaction score 185,684 Dec 28, 2025 #5 Mahondaw said: Dah! Click to expand... Fika Amsterdam uone airport ilivyokua busy...