Acha uongo, hizo degree unazocombine kwa W.kata wazitoe wapi..? W.Kata wengi Wana diploma za maendeleo ya jamii..Hawa watendaji wa kata wengi elimu zao ni za degree na hawa wa mtaa ni cheti au form six au diploma,inakuwaje sasa wafanane mishahara?
Sasa mzee unachobisha nini? Matangazo ya ajira zote kwenye halmshauri kuhusu watendaji, wale wa kata wanatakiwa wawe na degree na wale wa mtaa au kijiji wawe na cheti au form six au diploma.na watendaji wa kata sio wengi kama wa mtaa au kijijiAcha uongo, hizo degree unazocombine kwa W.kata wazitoe wapi..? W.Kata wengi Wana diploma za maendeleo ya jamii..
Acha uongo. Watendaji w mtaa au vijiji wanatakiwa wawe na NTA level 5.. ndo maana hz kazi watu wa degree wengi hawaombi kutokana na hvyo vigezo. Kumbuka pia wa.Kata ndo Hawahawa wanatokea mtaa/vijiji na kwenda Kata kutokana na uzoefu au kujiendeleza kidogo kielimu na kufikia diploma au hyo degree unayosemaSasa mzee unachobisha nini? Matangazo ya ajira zote kwenye halmshauri kuhusu watendaji, wale wa kata wanatakiwa wawe na degree na wale wa mtaa au kijiji wawe na cheti au form six au diploma.na watendaji wa kata sio wengi kama wa mtaa au kijiji
Mtendaji wa Kata au Kijiji/Mtaa wanaajiriwa wenye certificate na Diploma na Mishahara yao ni TGS B.Hawa watendaji wa kata wengi elimu zao ni za degree na hawa wa mtaa ni cheti au form six au diploma,inakuwaje sasa wafanane mishahara?
Kuna watendaji kata wenye diploma ambao hao ni watendaji kata daraja la tatu hao salary yao ni TGS C, na kuna watendaji kata daraja la pili,,ambao hao mara nyingi wanachukuliwa wenye degree ya sheria hao wanalipwa TGS D, inategemea na tangazo linahitaji wenye sifa zipiAcha uongo, hizo degree unazocombine kwa W.kata wazitoe wapi..? W.Kata wengi Wana diploma za maendeleo ya jamii..
Hawa wazinguaji tu.Hii kwa graduate ambaye alikuwa kitaa Hana hili Wala Lile ni pesa nyingi.. Binafsi siwezi DHARAU mshahara kama huu Hali ya kuwa nilikuwa nipo kitaa hata 100000 kwa mwezi sipati.
Hivi wewe Hadi una-undermine mshahara wa Laki 9, mwenzetu Huwa unaingiza pesa ngapi kwa mwezi..?
Hata kama ni nyingi sioni sababu ya kucrush Mishahara ya watu namna hii
Sio kweliHawa watendaji wa kata wengi elimu zao ni za degree na hawa wa mtaa ni cheti au form six au diploma,inakuwaje sasa wafanane mishahara?
Sio kweliHawa watendaji wa kata wengi elimu zao ni za degree na hawa wa mtaa ni cheti au form six au diploma,inakuwaje sasa wafanane mishahara?
Posho ya laki7
Sio kweli ajira ya mtendaji kata inamuhitaji diploma holder hakuna scale ya laki 7 mkuu,hiyo ni ya degree,ambayo kwa sasa ni 765 hviPosho ya laki7
Jf watu wanalishana matango pori balaa yaani ata kama kitu hajui anajifanya anajua😁😁😁Acha uongo, hizo degree unazocombine kwa W.kata wazitoe wapi..? W.Kata wengi Wana diploma za maendeleo ya jamii..
Tuletee hapa tangazo linalotaka ,tendaji wa kata awe na degree na kijiji diploma,acheni kujifanya ,najua wakati hamjui chochoteKuna watendaji kata wenye diploma ambao hao ni watendaji kata daraja la tatu hao salary yao ni TGS C, na kuna watendaji kata daraja la pili,,ambao hao mara nyingi wanachukuliwa wenye degree ya sheria hao wanalipwa TGS D, inategemea na tangazo linahitaji wenye sifa zipi
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
-Watendaji wa kata wapo kwenye makundi tofauti eg Kuna Mtendaji wa kata daraja la Pili, ambaye ni Degree na Mtendaji wa kata daraja la tatu ambaye ni diploma.Sio kweli ajira ya mtendaji kata inamuhitaji diploma holder hakuna scale ya laki 7 mkuu,hiyo ni ya degree,ambayo kwa sasa ni 765 hvi
Ukiona mtendaji kata ana laki 7+ basi ni mzoefu kazini sio ajira npya
😂😂😂😂😂 umetisha ila mwendazake aliwapeleka wakachakachue matokeo ya serikali za mtaa na uchaguzi mkuu,nchi ngumu hiiKuna kundi la WEOs na DOs waliajiriwa toka uvfisiem mwaka 2019/20. karibia wote wana digrii na ni wasukuma.
usaili aliwafanyia ndumbaro mwenyewe.
Mimi kuna mmoja nilisoma naye chuo,aliingia huko kama degree holder akiwa ni mtendaji wa kata sio mtaaJf watu wanalishana matango pori balaa yaani ata kama kitu hajui anajifanya anajua😁😁😁
Hapa angalau,umetoa ufafanuzi-Watendaji wa kata wapo kwenye makundi tofauti eg Kuna Mtendaji wa kata daraja la Pili, ambaye ni Degree na Mtendaji wa kata daraja la tatu ambaye ni diploma.
Ambazo ni shilingi ngapi?Kuna watendaji kata wenye diploma ambao hao ni watendaji kata daraja la tatu hao salary yao ni TGS C, na kuna watendaji kata daraja la pili,,ambao hao mara nyingi wanachukuliwa wenye degree ya sheria hao wanalipwa TGS D, inategemea na tangazo linahitaji wenye sifa zipi
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Acha ubishi kuna matangazo baadhi japo siyo mara nyingi wanahitaji watendajii kata daraja la pili tena kwenye tangazo wanaandika kabisa TGS D na mara nyingi yanapitia utumishi na wanachukua waliosoma degree za utawala na sheriaTuletee hapa tangazo linalotaka ,tendaji wa kata awe na degree na kijiji diploma,acheni kujifanya ,najua wakati hamjui chochote
Hao w.kata na kijiji wakiwa na sifa hizo wamejiongeza kielimu na hao ndo wapo wengi ila ajira mpya ni diploma kata na kijji au mtaa ni cheti
Huyo jamaa haelewi hajui kutofatisha madaraja mtendaji kata daraja la tatu ni diploma, daraja la pili ni degree-Watendaji wa kata wapo kwenye makundi tofauti eg Kuna Mtendaji wa kata daraja la Pili, ambaye ni Degree na Mtendaji wa kata daraja la tatu ambaye ni diploma.
Hii ya zaman hiiMwalimu 716,000
Mwanasheria 950,000
Muuguzi 980,000
Mfamasia 980,000
Daktari 1,480,000
Mhandisi 950,000
Mhasibu 950,000 ukiwa na CPA,,ila ukiwa na degree ni 710,000