Viwango vya mshahara Maxmalipo co ltd

....swali ni dogo na rahisi sana;ila unajibu maelezo mengi na irrelevant!
 
Du you made my day Mkuu!
 
PriceWaterHouseCoopers? Delloite? Au ni hivi vibenk sijui Standard Chartered? Ingawa sikujui lakini nina wasi wasi na hiyo salary scale yako
 
eeeeeeh haya tunakuja
 
Lakini security yake ni maximum, hawezi kufukuzwa kazi, labda afanye kosa kubwa sana.
Bila pesa mzee, ukianguka ghafla? Nduhu wakuchangie ?? Wakati kila siku unaimba nyimbo ya kwenda kazini?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…