Umekosea kwenye F na DME NIMETOKEA PC NA NILIFAULU KWA JUMLA YA DIV2 YA POINT 19
WASTAN NI ULE ULE UNAOTUMIWA NA SC NDO HUO UNAOTUMIKA HATA KWA PC
MFANO,
100-75=A
74-65=B
45-64=C
35-44=D
00-34=F
HIV NDO VIWANGO VINAVYOTUMIKA KWA CSEE
MAANDALI NA MSULI UWE WA KUTOSHA
DHID YA HAPO PEPA NJEMA!
A=75-100, B=65-74, C=45-64, D=30-44, F=0-29Watu ninaowauliza wananichanganya. Kila mtu anasema lake. Basi kwa mwenye uhakika anijuze, kuhusu A,B,C inaanzia ngapi hadi ngapi ili nijikadilie. Mimi ni PC wa CSEE 2016.
A=75-100, B=65-74, C=45-64, D=30-44, F=0-29
Hiyo haipo tena na huo waraka umeanza mwaka huuHamnaga E tena?
UNAVYOFIKILI D NA F ZINAANZIA NGAP?Umekosea kwenye F na D
Necta sio ya kukadiliaAisee, nashukuru kwa kunipatia ufafanuzi huu. Sasa nimeshajikadilia.