Viwango vipya vya huduma Uhamiaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwango vipya vya huduma Uhamiaji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ulimakafu, Jul 13, 2011.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Hivi karibuni Idara ya Uhamiaji nchini imetoa viwango mbali mbali vipya kwa huduma zake ambazo zitakuwa zinatozwa kuanzia Jualai 1 (sijui kama wameanza),lakini vinaonekana kupanda kwa zaidi ya asili mia moja,kwa mfano Hati ya ukazi daraja B imepanda toka $ 660 mpaka $1,500 na nyingine kwa ongezeko kama hilo.Lengo hasa ni kuongeza mapato,kubana wageni au nini?
   
 2. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  kuongeza pato la taifa na kupunguza nakisi ya bajeti mpya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??
  usiniambie na ada ya pasi za kusafiria imepanda
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Pasi za kusafiria sijaona,inaweza kuwa imepanda 'kimya kimya',si unajua Tz.
   
Loading...