top kibobo
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 203
- 107
Wanajf naomben kwa yeyote anayeweza kunifahamisha nafas ya kaz viwandani hata kubeba mizigo kupakia kwenye magar au kupanga bidhaa ghalan hata wakat wa usiku niko tayar. kiwanda chochote kile

msaada jaman....mmmmh tuoneane huruma