Kuna mikoa Hakuna kiwanda hata kimoja kilichojengwa. Tembelea Jimbo la Mbowe, Sina kama mfano.Katika kile kinachojulikana kama athari za 'Magulification', wamiliki wa viwanda na wawekezaji nchini Tanzania wamepongeza serikali ya Magufuli kwa support na msaada mkubwa ambayo serikali imeendelea kutoa kulinganana na sera zake za kuipeleka Tanzania katika uchumi wa Viwanda.
Ikumbukwe kwamba hotuba ya Rais Magufuli wakati wa kuanzishwa kwa Bunge jipya mwishoni mwa 2015 ilisisitiza kuwa viwanda vya biashara vitakuwa na kipaumbele muhimu kwa serikali.
Aliahidi kuhamasisha viwanda, kuzalisha bidhaa kwa ajili ya matumizi makubwa, kama vile nguo, na chakula
Viwanda zaidi ya 3600 vimejengwa katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita. Hii ni matokeo ya kampeni kubwa na isiyo na mwisho ya Rais Magufuli juu ya uchumi wa viwanda na kuhakikisha chini ya urasimu.
Kwa idadi hiyo tuna viwanda zaidi ya USA, Uingereza, Norway, Sweden Denmark and the like!Katika kile kinachojulikana kama athari za 'Magulification', wamiliki wa viwanda na wawekezaji nchini Tanzania wamepongeza serikali ya Magufuli kwa support na msaada mkubwa ambayo serikali imeendelea kutoa kulinganana na sera zake za kuipeleka Tanzania katika uchumi wa Viwanda.
Ikumbukwe kwamba hotuba ya Rais Magufuli wakati wa kuanzishwa kwa Bunge jipya mwishoni mwa 2015 ilisisitiza kuwa viwanda vya biashara vitakuwa na kipaumbele muhimu kwa serikali.
Aliahidi kuhamasisha viwanda, kuzalisha bidhaa kwa ajili ya matumizi makubwa, kama vile nguo, na chakula
Viwanda zaidi ya 3600 vimejengwa katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita. Hii ni matokeo ya kampeni kubwa na isiyo na mwisho ya Rais Magufuli juu ya uchumi wa viwanda na kuhakikisha chini ya urasimu.
HATA viwanda vikubwa vilianza hivyo hivyo vikiwa vidogo.. kwanini usiwe na mawazo chanya kwamba eventually viwanda vitakua na itakua sio tanzania ya zaman tutaweza kujitegemeaTunahitaji viwanda vikubwa. Sio viwanda vya vyerehan na mafundi viatu.. shit.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani mfano unadhani haiwezekani?Kwa idadi hiyo tuna viwanda zaidi ya USA, Uingereza, Norway, Sweden Denmark and the like!
NEGATIVE MINDSET
Hiyo ni sababu labda hawajaamasishwa na mbunge wao. jamani tatizo waTanzania wanataka kupewa kila kitu vingine si mtu unajiongeza tu au?Kuna mikoa Hakuna kiwanda hata kimoja kilichojengwa. Tembelea Jimbo la Mbowe, Sina kama mfano.
mpaka utajiwe mkuu?? jiongeze uvitafuyte au unadhan viwanda mpaka vifukize moshi juu ndo unadhan sasa hiko ni kiwanda??ACHENI UJINGA ORODHESHA HIVYO VIWANDA VIKO WAPI ,VINAMILIKIWA NA NANI NA LINI VILIJENGWA.TOKA MZEE WA ''VIWANDA VYANGU '' APUMZIKE ATA WIMBO WA VIWANDA HAUSIKIKI TENA.
ndio tuseme hivyo hivyo kwa ulipoishia wewe kufikiria3500 vikiwa vya MAFUNDI CHEREHANI na WAPIGA POLISH/KUSHONA VIATU.
Yaani ndugu issue ya viwanda ni usanii mtupu,hakuna cha viwanda,wanazindua vya zamani vya wakati wa jk.mpaka utajiwe mkuu?? jiongeze uvitafuyte au unadhan viwanda mpaka vifukize moshi juu ndo unadhan sasa hiko ni kiwanda??
Kwaheri, kawahi Lumumba wanakuacha kwenda ikulu!kwani mfano unadhani haiwezekani?
HATA viwanda vikubwa vilianza hivyo hivyo vikiwa vidogo.. kwanini usiwe na mawazo chanya kwamba eventually viwanda vitakua na itakua sio tanzania ya zaman tutaweza kujitegemea
sawa labda wanazindua huoni hata hiyo ni development maana vingine vilishakufa na sasa vimezinduka vinafanya kazi.. thats somethingYaani ndugu issue ya viwanda ni usanii mtupu,hakuna cha viwanda,wanazindua vya zamani vya wakati wa jk.
Hakuna mtu mwenye akili Lumumb! Narudia, sasa hivi mwijage nadhani ameanza kupata akili maana alishakuwa kama wewe! anauona ukweli ulio wazi kuwa cherehani siyo kiwanda. kwamba gongagonga ya mabati siyo kiwanda and the like!sawa labda wanazindua huoni hata hiyo ni development maana vingine vilishakufa na sasa vimezinduka vinafanya kazi.. thats something