Viwanda zaidi ya 3600 vimejengwa katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.

neym8990a

JF-Expert Member
Nov 8, 2017
244
196
Katika kile kinachojulikana kama athari za 'Magulification', wamiliki wa viwanda na wawekezaji nchini Tanzania wamepongeza serikali ya Magufuli kwa support na msaada mkubwa ambayo serikali imeendelea kutoa kulinganana na sera zake za kuipeleka Tanzania katika uchumi wa Viwanda.

Ikumbukwe kwamba hotuba ya Rais Magufuli wakati wa kuanzishwa kwa Bunge jipya mwishoni mwa 2015 ilisisitiza kuwa viwanda vya biashara vitakuwa na kipaumbele muhimu kwa serikali.

Aliahidi kuhamasisha viwanda, kuzalisha bidhaa kwa ajili ya matumizi makubwa, kama vile nguo, na chakula

Viwanda zaidi ya 3600 vimejengwa katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita. Hii ni matokeo ya kampeni kubwa na isiyo na mwisho ya Rais Magufuli juu ya uchumi wa viwanda na kuhakikisha chini ya urasimu.
 
Kuna mikoa Hakuna kiwanda hata kimoja kilichojengwa. Tembelea Jimbo la Mbowe, Sina kama mfano.
 
Kwa idadi hiyo tuna viwanda zaidi ya USA, Uingereza, Norway, Sweden Denmark and the like!
 
Kuna mikoa Hakuna kiwanda hata kimoja kilichojengwa. Tembelea Jimbo la Mbowe, Sina kama mfano.
Hiyo ni sababu labda hawajaamasishwa na mbunge wao. jamani tatizo waTanzania wanataka kupewa kila kitu vingine si mtu unajiongeza tu au?
 
ACHENI UJINGA ORODHESHA HIVYO VIWANDA VIKO WAPI ,VINAMILIKIWA NA NANI NA LINI VILIJENGWA.TOKA MZEE WA ''VIWANDA VYANGU '' APUMZIKE ATA WIMBO WA VIWANDA HAUSIKIKI TENA.
mpaka utajiwe mkuu?? jiongeze uvitafuyte au unadhan viwanda mpaka vifukize moshi juu ndo unadhan sasa hiko ni kiwanda??
 
Sijakataa ila mchango wa viwanda vidogo ni mdogo. Wawekezaj wapo wa kutosha. Kwann tusiwavutie atleat tupate viwanda vitatu vikubwa.. vya magari nguo.. na kadhalika?
Itachukua muda sana kiwanda kidogo kuwa kikubwa.. kwa hali ilivyo..
HATA viwanda vikubwa vilianza hivyo hivyo vikiwa vidogo.. kwanini usiwe na mawazo chanya kwamba eventually viwanda vitakua na itakua sio tanzania ya zaman tutaweza kujitegemea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ndugu issue ya viwanda ni usanii mtupu,hakuna cha viwanda,wanazindua vya zamani vya wakati wa jk.
sawa labda wanazindua huoni hata hiyo ni development maana vingine vilishakufa na sasa vimezinduka vinafanya kazi.. thats something
 
Hakuna mtu mwenye akili Lumumb! Narudia, sasa hivi mwijage nadhani ameanza kupata akili maana alishakuwa kama wewe! anauona ukweli ulio wazi kuwa cherehani siyo kiwanda. kwamba gongagonga ya mabati siyo kiwanda and the like!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom