Kagondo
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 296
- 79
Makamu wa Rais SAMIA SULUHU HASSAN amewataka wafanyabiashara na viwanda vyote nchini kutumia alama za utambulisho wa bidhaa, MSIBOMILIA (BARCODES) hapa nchini badala ya kutumia alama hiyo kutoka nchi za nje kama hatua ya kuimarisha masoko na utambulisho wa bidhaa za Tanzania katika masoko ya nd
ani na ya nje ya nchini.