Mtani wa Taifa JF-Expert Member Joined Aug 2, 2023 Posts 953 Reaction score 3,332 Dec 31, 2023 #21 Biandamu tusijupe umuhimu tusiokuwa nao katika hii dunia, hatuna uwezo wowote wa kubadili chochote katika masuala ya mabadiliko ya tabia nchi. Sisi ni kama tone tu katika dunia.
Biandamu tusijupe umuhimu tusiokuwa nao katika hii dunia, hatuna uwezo wowote wa kubadili chochote katika masuala ya mabadiliko ya tabia nchi. Sisi ni kama tone tu katika dunia.
beefinjector JF-Expert Member Joined Jul 23, 2009 Posts 2,795 Reaction score 2,780 Dec 31, 2023 #22 stormryder said: Climate change is hoax, dunia ina Miaka 4.5 haijapata hiyo shida how come sisi tuje kuharibu... Kwa scale ya Dunia sisi ni kama mchwa Click to expand... Miaka 4.5 huh?
stormryder said: Climate change is hoax, dunia ina Miaka 4.5 haijapata hiyo shida how come sisi tuje kuharibu... Kwa scale ya Dunia sisi ni kama mchwa Click to expand... Miaka 4.5 huh?
M MlimaSayuni JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 7,259 Reaction score 13,634 Dec 31, 2023 #23 beefinjector said: Miaka 4.5 huh? Click to expand... 4.5 billions
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,487 Reaction score 195,289 Dec 31, 2023 #24 Ngoja waje kukupa muongozo...
Apeche alolo JF-Expert Member Joined Apr 14, 2023 Posts 2,619 Reaction score 5,794 Dec 31, 2023 #25 iMute said: Nimeshangaa. Hata mimi ananishangaza kwa kushindwa kuelewa jambo kama hili ambalo ni la kawaida sana. Click to expand... wewe umewahi kwenda huko kwenye ncha ya dunia?
iMute said: Nimeshangaa. Hata mimi ananishangaza kwa kushindwa kuelewa jambo kama hili ambalo ni la kawaida sana. Click to expand... wewe umewahi kwenda huko kwenye ncha ya dunia?
Fursa Pesa JF-Expert Member Joined May 30, 2012 Posts 4,633 Reaction score 3,534 Dec 31, 2023 #26 stormryder said: Climate change is hoax, dunia ina Miaka 4.5 billions haijapata hiyo shida how come sisi tuje kuharibu... Kwa scale ya Dunia sisi ni kama mchwa Click to expand... Very Genius,,,,,hata mimi ndivyo niaminivo
stormryder said: Climate change is hoax, dunia ina Miaka 4.5 billions haijapata hiyo shida how come sisi tuje kuharibu... Kwa scale ya Dunia sisi ni kama mchwa Click to expand... Very Genius,,,,,hata mimi ndivyo niaminivo