Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,614
- 14,101
Wakuu mnyama sasa yupo kwenye chumba cha wagonjwa wa kifafa na kifua kikuu.
El perdedor
El perdedor
Ingekuwa ushindi ndani ya dakika 90 ingeniuma san
Ushindi ushindi tu hata ndani ya dakika 120Ingekuwa ushindi ndani ya dakika 90 ingeniuma san
Tumesha wachapaIngekuwa ushindi ndani ya dakika 90 ingeniuma san
We mkia unazurura sana kweny nyuzi za Wanaume(yanga) kwani unateseka?hebu lala mkuu tunajua mambo haya yanauma sana,hii siku inakukumbusha mpapaso wa masau[emoji23][emoji23][emoji23]Utopolo kwa dk kumi mmeanzisha nyuzi kama 20 hivi kufurahia ushindi wenu mnaouona wa maana sana,zawadi kombe la plastiki lile na vijipesa vya kununua sidiria za kuvalia madera yenu!!.
Tuliishauri serikali kupitia upya utengenezwaji wa banana naona hawajaufanyia kazi bado,acha haraka hiyo pombe kwa usalama wa ubongo wakoHivi ushawahi kuchunguza akili za hawa majamaa [utopolo] yaani huwa kama malimbukeni fulani hivi...kichwani huwa hamna kitu kbs
Chunguza tu hata hpo mtaani kwenu utanimbia
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Uza huu ubongo,umejaa ugoloHivi ushawahi kuchunguza akili za hawa majamaa [utopolo] yaani huwa kama malimbukeni fulani hivi...kichwani huwa hamna kitu kbs
Chunguza tu hata hpo mtaani kwenu utanimbia
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kinawauma eehh.Utopolo kwa dk kumi mmeanzisha nyuzi kama 20 hivi kufurahia ushindi wenu mnaouona wa maana sana,zawadi kombe la plastiki lile na vijipesa vya kununua sidiria za kuvalia madera yenu!!.
Nani anunue takataka hiziUza huu ubongo,umejaa ugolo
Niliwahi skia kua uchawi hauendi kwa mentali kumbe ni kweli? Ila na nyie mpunguze maneno sasa.Wakuu mnyama sasa yupo kwenye chumba cha wagonjwa wa kifafa na kifua kikuu.
El perdedor
View attachment 1676839
Wanafurahia lile birika la kuvutia shishaUtopolo kwa dk kumi mmeanzisha nyuzi kama 20 hivi kufurahia ushindi wenu mnaouona wa maana sana,zawadi kombe la plastiki lile na vijipesa vya kununua sidiria za kuvalia madera yenu!!.
Katimu kadogo kanapopata ushindi wa mbinde kwa moja ya miamba ya Afrika