Viuvimbe vidogo vidogo maeneo ya mwili

Viuvimbe vidogo vidogo maeneo ya mwili

zhang laoshi

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
469
Reaction score
639
Habari wadau

Kuna hali inanitokea na kunitia wasiwasi, kilianza kiuvimbe kidogo maeneo ya katikati ya kiuno na mbavu eneo la ubavuni, ukikishika ni kama gololi ipo ndani, hakiumi ila ukikiminya kinauma, but last week kimetokea kingine upande wa kushoto kinachofanana na hiko.

Je hii ni dalili ya nini hasa naomba kufahamishwa
Asante...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh hu mwaka 2020 tutakoma mungu wangu, hata ukienda hospital utapimwa korona kwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom