Kwani wewe hujuwi Raha ya dunia uwe na Mwanamke anayekupendeza kimwili na Tabia yake Mkuu kiuno hicho kina Raha zake nenda kazini unachelewa hapa Jamii forums.

Nakubali, ngoja basi kupambazuke kidogo rafiki, mweeeeee!!!! Angalia wa mama wa jamii forum wakiisoma reply yako kuwa wao ni commodities -penye red (commodity is anything that satisfies human wants) wataandamana kwa kuwadhalilisha

karibu wanawake wote wa Jamii forums wazuri nawapenda hakuna aliyekuwa mbaya. Ila nasema hivi uzuri wa mtu ni Tabia sio sura yake awe Mwanamke au mwanamme.