Wote mmegomzi mje huku chimbo la toroka uje karibu na gheto la east zoo kwa ngwair ni marder kuna vyumba mpaka vya buku 2 kwa vyuma vya utawala huu nahisi ndio kunafaa sana ni uvumilivu wako tu wa wewe na kunguni
Wote mmegomzi mje huku chimbo la toroka uje karibu na gheto la east zoo kwa ngwair ni marder kuna vyumba mpaka vya buku 2 kwa vyuma vya utawala huu nahisi ndio kunafaa sana
JF,huwa nashindwa kupaelewa cuz ukileta topic za Dsm kila mmoja anashuka as if yupo Dsm na ukileta topic ya Dom kila mmoja anaoneka ni mkazi wa Dom,the same case to Mwanza,Arusha etc!
JF,huwa nashindwa kupaelewa cuz ukileta topic za Dsm kila mmoja anashuka as if yupo Dsm na ukileta topic ya Dom kila mmoja anaoneka ni mkazi wa Dom,the same case to Mwanza,Arusha etc!
1. Mwanga Bar kuku wa kuchomaa swaaafiii
2. Waswanu ...kule
3. Pestana Pub
4. Rose gareden hawana haramu
5. Kwa MANKAaaaa (anajua andaa haramuu)...pembeni ya sheli ya IJENGA..kutoka mataa ya chakonichako--barabara ya kuja CBE (kila uchao utapenda enda kula ugali mmmm)
6. Chako ni chakoo..pamejengwa upyaa...ila sikupenda mazingira
7. ...........
"MWISHO kumbuka usipeleke sadaka Msikitini/Kanisani itokanayo na chenchi ulizobakiza baada ya kwenda kujivinjari ukooo kotee" toa sadaka ilosafiii