Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
- Thread starter
-
- #21
Nawakubali sana Black PeopleView attachment 425579 Kiukweli sijawahi kumpenda mwanamke mweupe na hata ilipotokea kumtamkia neno 'ninakupenda'ni uongo tu sio kutoka rohoni ni kwa tamaa tu ya kubadilisha mboga.,
Kitu black bana........
View attachment 425575
Na huwa sipendi kuwaona wakilia.,walaaniwe wote wanaowafanya blacks walie.
Haswaa sehemu za hali ya hewa ya ubaridi unafaidi sana kwani wana joto taaaaaam blaa.,hakika ma~black leide ni watam haaswa.Nawakubali sana Black People
nahisi at a kunywa maji mengi inasababisha wanakuwa weupe
nimerejea maneno ya bongo muvi mmoja hivi
Mfano Mimi.ila kwa hili nasema kuwa wanaume wengine hapa wanajisheua tuu....wanaosababisha wanawake wanajibadilisha ni hawa wanaume...Utakuta mwanamme anataka msichana mweupe...angalia asilimia kubwa za wanaume wapo na wanawake gani...
Pia kuna wanawake black ambao ni wazuri kama huyo hapo ila kuna wanawake wengine black hawapendezi...akipaka makeup ndio anakuwa kituko bora apake poda na wanja tuu...
ila mwanamke mweupe hata kama ni mweupe kidogo (maji ya kunde / kahawia ilokolea) huwa hawa wanapendeza mara nyingi hasa akiwa soft...kama wasomali ...n.k..
Jiulize kwanini Wasukuma hutoa mahari kubwa kwa wanawake weupe?
Kwanini kanda za Arusha, Kilimanjaro, Singida, Tanga, Upareni wapo juu sana.... utakuta ni colour ndizo zinazowapaisha...
Msemakweli mpenzi wa Mungu.
Kama ni kuhusu hili suala linatakiwa lianze kwa wanaume, wabadilike kuacha kupenda wanawake weupe
Hili halitofautiani na lile janga la wanawake bapa kupotea, sasa hivi utakuta kila mwanamke ni kajichubua, na anakalio hilo...Je hawa walikuwa wapi? Msichana akishakuwa tuu akijitambua hasa wasichana wa vyuo, Wanaenda kwa mchina kukuza kalio....
Wanaume kwanini mnapenda makalio, au mnapenda nyuma..?
BADILIKENI WANAUME
Kwahiyo kumbe huwa mnajichubua na kukuza makalio kwa ajili ya wanaume?ila kwa hili nasema kuwa wanaume wengine hapa wanajisheua tuu....wanaosababisha wanawake wanajibadilisha ni hawa wanaume...Utakuta mwanamme anataka msichana mweupe...angalia asilimia kubwa za wanaume wapo na wanawake gani...
Pia kuna wanawake black ambao ni wazuri kama huyo hapo ila kuna wanawake wengine black hawapendezi...akipaka makeup ndio anakuwa kituko bora apake poda na wanja tuu...
ila mwanamke mweupe hata kama ni mweupe kidogo (maji ya kunde / kahawia ilokolea) huwa hawa wanapendeza mara nyingi hasa akiwa soft...kama wasomali ...n.k..
Jiulize kwanini Wasukuma hutoa mahari kubwa kwa wanawake weupe?
Kwanini kanda za Arusha, Kilimanjaro, Singida, Tanga, Upareni wapo juu sana.... utakuta ni colour ndizo zinazowapaisha...
Msemakweli mpenzi wa Mungu.
Kama ni kuhusu hili suala linatakiwa lianze kwa wanaume, wabadilike kuacha kupenda wanawake weupe
Hili halitofautiani na lile janga la wanawake bapa kupotea, sasa hivi utakuta kila mwanamke ni kajichubua, na anakalio hilo...Je hawa walikuwa wapi? Msichana akishakuwa tuu akijitambua hasa wasichana wa vyuo, Wanaenda kwa mchina kukuza kalio....
Wanaume kwanini mnapenda makalio, au mnapenda nyuma..?
BADILIKENI WANAUME
Acha uoga mkuu.Ungesema tu ni Raynahisi at a kunywa maji mengi inasababisha wanakuwa weupe
nimerejea maneno ya bongo muvi mmoja hivi
kumbe ni huyo mimi nilisikia tu sauti si unajua hm hakuna TVAcha uoga mkuu.Ungesema tu ni Ray
hiii ndo yenyewe sasa
Siku hizi wanakunywa maji mengi ndiyo maana wanazidi kupotea.
Aisee nimecheka Sana...
Lakini kwa serikali hii watu watarudi kwenye ubora wa rangi zao hizo ela za mafuta ya laki moja watazitoa wapi, pia mh. kaweka kitengo cha TBS bandarini na mipakani hizo bidhaa zitapitia wapi( yaani watu watakuwa kama vidonge vya rangi mbili au zebra)